JAJI WARIOBA AONGOZA VIONGOZI NA WASOMI KUJADILI MAENDELEO YA VIWANDA NCHINI
Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba akitoa mada katika mdahalo ulioandaliwa na Taasisi inayojishughulisha na Utafiti wa Sayansi ya Jamii (REPOA) juu ya mapinduzi ya Viwanda. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara , Profesa Adolf Mkenda
Mzee Butiku akiwa na wadau wakifatilia mjadala huo wa aina yake
Mkurugenzi mkuu wa Benki ya CRDB nchini Dkt. Charles Kimei akizungumza namna mabenki yanavyoweza kutoa mchango mkubwa katika mapinduzi ya Viwanda nchini wakati wa mjadala ulioandaliwa na REPOA juu ya nini kifanyike kuelekea mapinduzi ya Viwanda kwa kushirikisha Tasisi
Waziri wa Fedha Mstaafu wa awamu ya nne Mhe. Basil Mramba akizungumzia juu ya nini kifanyike katika serikali kuu hili tuweze kufanikiwa katika maendeleo ya Viwanda
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Profesa Adolf Mkenda akiwa na baadhi ya washiriki mara baada ya kumalizika kwa mdahalo huo
About Author Matukio360
Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.
No comments:
Post a Comment