NAPE: Hata mimi nilikuwa napata presha kubwa, sikujua kama lingekuwa na presha kubwa hivi. Nitoe wito watanzania wakati mwingine kuwa wavumilivu, watu walisema mambo mengi sana jana.
Nimeipokea ripoti na kazi hii ina gharama sana ikiwemo ya kusimamia haki na ukweli.
Juu yangu kuna waziri mkuu, makamu na Rais mwenyewe, nitachofanya ni kukabidhi kwao wenyewe na kama kuna chochote cha kufanya, watafanya chochote. Tunalipwa kwa pesa za walipa kodi na wavuja jasho, niwaombeni wanahabari tuendelee kuwa wavumilivu, Rais ana nia njema na tasnia ya wanahabari na sheria ya vyombo vya habari imewezekana chini ya utawala wake.
Nina imani madhaifu yakitokea kwa mtu mmoja mmoja haiwi tope kwa serikali nzima. Nyinyi ni sehemu muhimu katika kufanikisha sera, tumuunge rais mkono.
u
=======
Usikose MATUKIO ‘MUBASHARA’ YA UZINDUZI WA
'KAMATI YA NAPE' YATAKAYOKUJIA HIVI PUNDE KUPITIA BLOG YAKO PEKEE YA MATUKIO TANZANIA: www.TANZANIAMPYAMATUKIO.BLOGSPOT.COM STAY tuned....................... HABARI KWA HISANI YA JAMII FORUM
About Author Matukio360
Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.
No comments:
Post a Comment