VIDEO: Lema kuhusu wabunge CCM waliokwenda kumsalimia gerezani kuitwa wasaliti

Source: (Millard Ayo)
on
Moja ya gazeti la leo limeripoti kuwa Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi ‘CCM’Rais Magufuli amesema kuwa kuna wabunge wa CCM waliunda kamati ya kutaka kwenda Arusha kumtembelea Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema akiwa mahabusu jambo alilosema ni sawa na usaliti kwa chama chake na viongozi wa CCM.
Mbunge Godbless Lema amejitokeza na kuzungumzia kauli hiyo ya Rais Magufuli, Bonyeza play hapa chini kutazama

VIDEO: Mbunge Lema, Wema Sepetu walivyohutubia Arusha, Bonyeza play hapa chini kutazama 

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search