#AFYA YAKO: FANYA HAYA DAKIKA TATU ZA MWANZO UAMKAPO TOKA #USINGIZINI!



Kumekuwepo na tatizo la vifo vya ghafla sana tena kwa watu ambao wana afya njema na hii inatokana na kuamka ghafla usiku ambapo ubongo hukosa damu ya kutosha.```

Unapoamka  katikati ya usiku kwenda kujisaidia haja ndogo mfumo wa damu unakuwa umebadilika kwa sababu kuamka ghafla kuna kuwa hakuna mzunguko wa kutosha wa damu kwenye ubongo unaosababisha moyo kushindwa kufanya kazi kutokana na ukosefu wa damu._

*USHAURI:*
*Tumia dakika 3 na nusu kufanya yafuatayo:-*

*1. Unapoamka usingizini lala kitandani kwa nusu dakika.*

*2. Kaa kitandani kwa takribani nusu dakika.*

*3. Shusha miguu, kaa pembeni ya kitanda takribani nusu dakika.*

Baada ya dakika 3 na nusu hutakuwa na tatizo la ukosefu wa damu kwenye ubongo na moyo kushindwa kufanya kazi, hivyo inapunguza uwezekano wa vifo vya ghafla na kuanguka ghafla.


Kushare ni kujali

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search