Matukio Pichani: Pata Yaliyojiri leo Bungeni 22/05/2017


Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Andrew Chenge akiongoza  kikao cha thelathini na Moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 22, 2017.
9466-Jafo
 Naibu Waziri Ofisi ya Rais –TAMISEMI Mhe.Suleiman Jafo akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha thelathini na Moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 22, 2017.
9724-Mhe.Kigwangalla
 Naibu Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Dk Khamis Kigwangalla  akifafanua jambo katika kikao cha thelathini na Moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 22, 2017.
9703-Mhe.Ngonyani
Naibu Waziri  wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe.Edwin Ngonyani  akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha thelathini na Moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 22, 2017.
9518-Mhe.Mwigulu
 Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe.Mwigulu Nchemba akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha thelathini na Moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 22, 2017.
9602-Mhe.Kamwelwe
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Isack Kamwelwe akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha thelathini na Moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 22, 2017.
9647-Mhe.Ole Nasha
 Naibu Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi Mhe.William Ole Nasha akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha thelathini na Moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 22, 2017.
9446-Mbunge wa Itilima Njalu Silanga
 Mbunge wa Itilima(CCM) Mhe.Njalu Silanga akiuliza swali katika kikao cha thelathini na Moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 22, 2017.
9679-Mhe.Maige
 Mbunge wa Msalala (CCM) Mhe.Ezekiel Maige akiuliza swali katika kikao cha thelathini na Moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 22, 2017.
9753-Lukuvi na Mdee
Waziri wa Ardhi ,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.William Lukuvi akizungumza jambo na Mbunge wa Kawe Mhe.Halima Mdee katika  kikao cha thelathini na Moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 22, 2017.
9592-Mhe.Mhagama akimsikiliza mavunde
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Ajira na Watu wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akizungumza jambo na Naibu wake Mhe.Anthony Mavunde katika  kikao cha thelathini na Moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 22, 2017.
Picha Zote na Daudi Manongi- Dodoma MAELEZO, DODOMA

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search