BARCELONA,DORTMUND ZATUPWA NJE LIGI YA MABINGWA ULAYA


FC Barcelona imetolewa katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya sare ya bila mabao dhidi ya Juventus.
Licha ya kuwa kwenye uwanja wake wa nyumbani wa Camp Nou, Barcelona ilishindwa kushinda na kufanya Juventus ya Italia isonge mbele kwa jumla ya mabao 3-0, ushindi walioupata mjini Turin katika mechi ya kwanza.
Mabao mengine ya Monaco yalifungwa na nahodha wake, Radamel Falcao na Varele Germain akahitimisha bao la tatu.
VIKOSI
Barcelona: Ter Stegen 7, Roberto 8 (Mascherano, 78), Pique 8, Umtiti 7, Alba 7, Busquets 8, Rakitic 6 (Alcacer, 58), Iniesta 8, Neymar 7, Suarez 7, Messi 7
Subs not used: Cillessen, Denis Suarez, Digne, Andre Gomes, Alena
Booked: Iniesta, Neymar 
Juventus: Buffon 8, Dani Alves 8, Bonucci 9, Chiellini 9, Alex Sandro 8, Khedira 7, Pjanic 8, Cuadrado 8 (Lemina, 84), Dybala 7 (Barzagli, 75), Mandzukic 7, Higuain 7 (Asamoah, 88)
Subs not used: Neto, Benatia, Lichtsteiner, Rincon
Booked: Chiellini, Khedira 
Referee: Bjorn Kuipers (Holland)

Nchini Ufaransa vinara wa Ligi hiyo Monaco wametinga nusu fainali
Mshambulizi nyota wa AC Monaco, Kylian Mbappe Lottin amezidi kuonyesha uwezo baada ya kufunga tena wakati timu yake ikiichapa Dortmund kwa mabao 3-1 na kutinga nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa jumla ya mabao 6-3.
Katika mechi ya kwanza mjini Dortmund, wageni Monaco walishinda 3-2 huku Mbappe akipachika mabao mawili.

Monaco starting XI: Subasic, Toure, Glik, Jemerson, Mendy, Moutinho, Bakayoko, Silva, Lemar, Falcao, Mbappe
Monaco subs: De Sanctis, Jorge, Dirar, Germain, Raggi, Cardona, N’Doram
Borussia Dortmund XI: Burki, Piszczek, Ginter, Sokratis, Durm, Weigl, Sahin, Reus, Kagawa, Guerreiro, Aubameyang

Dortmund subs: Weidenfeller, Bender, Dembele, Pulisic, Merino, Castro, Schmelzer

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search