KAMA ULIPITWA NA HII YA MBUNGE SUSAN 'KUDAI GARI LAO' KWA MKUU WA MKOA; NDIPO'SA WAZIRI LUKUVI NAE AKATETEA MAAMUZI YA WAPANGAJI WA NHC KUFUKUZWA "TUNAHAULISHA TU UTARATIBU WA UMILIKI WA SERIKALI LAKINI HATUWAONDOI WAPANGAJI" !!

Mbunge wa Mlimba Susan Kiwanga alikuwa mmoja wa wabunge waliosimama Bungeni leo April 19, 2017 ili kuchangia bajeti ya Wizara ya TAMISEMI na ile ya Ofisi ya Rais na utawala bora ambapo kati ya vitu alivyozungumzia ni hatua ya serikali kushindwa kushughulikia baadhi ya mambo yaliyo ndani ya uwezo.
‘Miundombinu ni mibovu, acheni ubabaishaji na msicheke inatuumiza sana, maneno mengi kwenye vitabu lakini utekelezaji hakuna’ –Susan Kiwanga
chungulia video hapa chini….
VIDEO: Majibu ya serikali kuhusu kuwafukuza wapangaji wa NHS
Source: Ayo Tv



No comments:
Post a Comment