ROMA MAKATOLIKI AZUA TAHARUKI: WASANII WAPIGA KAMBI COCO BEACH!
Edwin TZA na millardayo.com
Nni April 7, 2017 ambapo wasanii mbalimbali Tanzania wamekutana Coco Beach jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kujadili kuhusu kumtafuta Roma Mkatoliki na wenzake.
Roma Mkatoliki na wenzake walichukuliwa April 5 2017 na watu wasiojulikana wakiwa katika Studio za Tongwe Records na kupelekwa kusikojulikana.
Itazame hii video hapa ujionee jinsi wasanii walivyozungumza na waandishi wa habari kuhusu kumtafuta Roma Mkatoliki…



No comments:
Post a Comment