SIMULIZI ZA
KUSISIMUA: KIJANA ALIYEKUFA MIAKA 14 ILIYOPITA AFUFUKA NA KUSIMULIA
ALIVYOFANYISHWA KAZI ZA KISUKULE BANDARINI
kijana kutokea Mbeya Hassan Mga, anadai mwaka
2003akiwa darasa la tatu alichukuliwa msukule na baada ya kuumwa vikali kichwa
na kupelekwa hospitali na mwishowe 'kufa' kimsukule
Anadai uliyechukuliwa msukule huwa anaona
yanavyofanyika mazishi yake lakini wao hawaomuoni na hawezi kuongea nao
Alidai walichukuliwa na kwenda kutumikishwa bandarini
kupakua makontena mizigo,
chakula walichokuwa wakila ilikuwa ni nyama mbichi,
pumba na unga uliokorogwa...
walikuwa hawanywi maji ila damu
Ila kuna siku alilishwa chakula ambacho hawaruhusiwi
kula huko(ubwabwa anadai) ndipo akaibuka dunia hii sehemu ambayo haifahamu na
watu kumkimbia na alipata wakati mgumu watukumuelewa...ilaalifanyiwa maombi
kanisani ndipo akaweza kuongea na kurudia kawaida
Source: quality opportunity blog
No comments:
Post a Comment