UTAFITI: SOKWE WAKUBWA HUCHUKIZWA SANA NA 'MUSIC' WA 'KUFOKA-FOKA'

Utafiti wa awali ulionyesha kuwa sokwe hupenda sana kusikiliza muziki
Image captionUtafiti wa awali ulionyesha kuwa sokwe hupenda sana kusikiliza muziki
Utafiti uliofanyika Uingereza na Marekani umegundua kuwa sokwe wakubwa na jamii nyinginezo sio wapenzi wakubwa wa muziki.
Utafiti huo unapingana na imani za walio wengi kuwa kupiga muziki maeneo ya hifadhi za wanyama huwafurahisha.
Watafiti hao walipiga muziki ambao unasemekana kupendwa na sokwe ungewafanya kufanya ni aina gani ya muziki wanaoupenda ikiwemo miondoko ya pop na nyinginezo.
Matokeo yake sokwe hao hawakuonyesha wamevutiwa haswa na aina gani ya wimbo, sio wa Ludwig van Beethoven ama Justin Bieber.
Katika tafiti za awali zinaonyesha sokwe huvutiwa na muziki wa taratibu zaidi ambapo unapingwa na utafiti wa sasa

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search