VIDEO: FUATILIA KIPINDI CHA MASWALI NA MAJIBU BUNGENI LEO ASUBUHI YA TAREHE 11/APRIL/2017


Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeendelea leo April 11, 2017 mjini Dodoma kwa kipindi cha maswali na majibu. Ni Bunge la 11, Mkutano wa Saba kikiwa ni Kikao cha Tano.
Source: Millard Ayo
Unaweza kubonyeza play hapa chini kutazama…

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search