Breaking News: Kutoka Ikulu Jijini Dar es Salaam.. Mhe. Rais ameridhia maombi ya Kuacha Kazi kwa Wateule wake watatu !
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameridhia maombi ya kuacha kazi kwa Mkuu wa Mkoa wa kilimanjaro Bw. SaidiMeck Sadiki na Majaji wawili wa Makahama kuu Tanzania. Nimekuekea hapa Taarifa Rasmi tuliyoipokea hivi punde kutoka Ikulu Jijini dar es Salaam.
Endelea kufuatilia blog yako ya Matukio kwa habari za kina kadri zinavyotufikia.. www.tanzaniampyamatukio.blogspot.com
Endelea kufuatilia blog yako ya Matukio kwa habari za kina kadri zinavyotufikia.. www.tanzaniampyamatukio.blogspot.com
No comments:
Post a Comment