Breaking News!! Watu 22 wamaripotiwa kupoteza Maisha kaufuatia mlipuko mkubwa uliotokea Manchester Arena, Nchini Uingereza !!
Kuna Taarifa taharuki kubwa kufuatia mlipuko Mkubwa uliotokea wakati maelfu ya Waingereza wakihudhuria Tamasha ndani ya Manchester Arena. Zaidi ya watu 22 wamefariki kwenye Mlipuko huo hadi sasa na mamia wakijeruhiwa.
Rais Donald Trump alie ziarani Nchi Israel amelaani vikali mauaji hayo akiyaita ya 'kikatili'
Blog yako ya Matukio inafuatilia kwa karibu taarifa na yanayojiri na tutaendelea kuapdate uzi huu kila dakika kila secunde.. endelea kufuatana nasi..
No comments:
Post a Comment