News Alert ! Ripoti Mchanga wa Madini Hadharani Kesho !!

Rais John Pombe Magufuli kesho atapokea taarifa ya kamati maalum aliyounda kuchungaza mchanga wa madini ulio kwenye makontena.

Soma taarifa kamili iliyotufikia hivi kwa hisani ya Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu..

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search