Video! Like 'Father like Daughter' huyu ndie mwana wa 'Simba wa Nyika'... Ukiwaona Ditopite Mzuzuri..


Jina la Ditopile si geni katika anga za Siasa Nchini Tanzania, msikikilize huyu 'mwana wa kamanda wa Vita, mpambanaji mwanzo mwisho.. Mariam Ukiwaona Ditopile Ramadhn wa Mzuzuri... msikilize kwenye clip hii fupi akimpambania Waziri Tizeba aongezewe 'Fungu' BUNGENI...

“Lawama nyingi sana zimemwendea Waziri Tizeba (Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi) ukikaa nae maono aliyonayo kwa Wizara hii ni makubwa lakini hana fedha atafanya nini (bajeti ni finyu)”.
Mariam Ditopile Mbunge Viti Maalum akichangia hoja ya makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi kwa mwaka 2017/2018

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search