Kikosi cha Usalama Barabarani Kanda Maalum Dar es salaam kimekusanya Tsh. 440,000,000 za makosa ya Barabarani kuanzia May 16 hadi 21, 2017. Hayo yameelezwa leo na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam katika taarifa yake kwa vyombo vya Habari.
Kamanda Siro
About Author Matukio360
Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.
No comments:
Post a Comment