#LIVE: Fuatilia mazishi ya IVAN uone Zari alivyolianzisha akidai mali za wanawe !!
Mwanadada Zarina Hasan a.k.a The Boss lady, leo 'amepasuka hadharani' na 'kutema nyongo yote' alivyopewa nafasi kusema machache kwenye mazishi ya IVAN aliekuwa mumewe wa mwanzo.
Hata hivyo katika hali ya patashika hilo ambalo lilikuwa wazi wazi mbele ya mashabiki lukuki na lukuki wanaofuatilia 'Mubashara hivi sasa' mazishi ya Don Ivan kama anavyofahamika na wengi,.. Mashabiki na wananchi wa Uganda wameungana na Zari aliewaambia ndugu wa Marehemu hawana chao na mali zote amechuma na mzazi mwenziwe kwa ajili ya watoto wao.
nimekuwekea maoni ya wananchi wanamuunga mkono zari.. jee wewe unalionaje ? #SHARE
nimekuwekea maoni ya wananchi wanamuunga mkono zari.. jee wewe unalionaje ? #SHARE
No comments:
Post a Comment