Msikilize Mbunge Mbogo akitoa Mtazamo wake!

"Mpango wa serikali kuagiza kwa wingi mbolea za kupandia na kukuzia na pia kuacha baadhi kwa watu binafsi utaleta nafuu kwa wakulima"
Richard Mbogo-Mbunge wa Nsimbo akitoa mtazamo wake juu ya makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi kwa mwaka wa fedha 2017/2018

Mbunge Richard Mbogo !

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search