Gari la Wagonjwa alilyotoa Mbunge Nape Leo!
Mbunge wa Mtama kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye ametoa gari jipya la kubeba wagonjwa kwa wananchi wa jimboni kwake Mtama. Ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa ahadi alizotoa wakati wa uchaguzi.
"Niliahidi nimetekeleza, gari jipya la wagonjwa kwa Tarafa ya Nyangamara Jimboni Mtama". Aliandika Nape kupitia ukurasa wake wa Twitter.
No comments:
Post a Comment