Picha 6 za Terminal ya Treni ya Mwendokasi(SGR) iliyozinduliwa leo na Rais Uhuru Kenyatta !

Zimetufikia picha kadhaa zilizopigwa leo wakati wa Uzinduzi wa Reli ya Mwendokasi kasi Nchini Kenya (yenye kiwango cha SGR).
Viongozi mbalimbali Duniani wametuma salaam za Pongezi kwa Rais Kenyatta na Naibu wake William Ruto katika sherehe iliyowaacha wapinzani nje ya Uzio.
Taswira ya kuvutia yaTerminal ya Kisasa kwa ajili ya Abiria ni miongoni mwa vivutio vikubwa vilivyopelekea viongozi wa Dunia kumpongeza Rais Kenyatta kwa mafanikio hayo yaliyopewa jina la 'milestone achievement '


About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search