BREAKING NEWS! Busara na Hekima za Ndesamburo zamgusa JPM, #SHARE atuma salamu nzito!
Ndugu msomaji wa MatukioTZA, nimekuwekea Salamu za Rambirambi kutoka kwa Mhe. Dkt John Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambae hakusita kuelezea majonzi yake makubwa na huzuni kwa kifo cha mwanasiasa na kada mkubwa wa CHADEMA Bw. Philemon Ndesamburo.
Katika Rambirambi zake Rais alielezea jinsi walivyofanya kazi kwa ukaribu na ushirikiano wakati wote wawilii wakiwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano.
Rais amemalizia kwa kuwapa pole wafiwa.
Rais amemalizia kwa kuwapa pole wafiwa.
No comments:
Post a Comment