Picha: Pitia matukio yote yaliyojiri Bungeni leo Asubuhi wa Mkutano wa Bunge la Saba Mjini Dodoma !


Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dk. Tulia Ackson akiongoza  kikao cha Ishirini na mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 11, 2017.
6409-Waziri Majaliwa
 Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akijibu maswali Mbalimbali ya Wabunge  katika  kikao cha Ishirini na mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 11, 2017.
6676-Mhe.Kamwelwe
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Isack Kamwelwe akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika  kikao cha Ishirini na mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 11, 2017.
6701-Mhe.kalemani
Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe.Dk.Medard Kalemani akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika  kikao cha Ishirini na mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 11, 2017.
6524-Pm akizungumza na Kabudi
Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akizungumza jambo na Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.Prof,Palamagamba Kabudi  kikao cha Ishirini na mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 11, 2017.
6534-Mhe Simbachawene
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais(TAMISEMI) Mhe.George Simbachawene akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika  kikao cha Ishirini na mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 11, 2017.
6574-Mhe.Ummy Waziri
 Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe,Ummy Mwalimu  akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika  kikao cha Ishirini na mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 11, 2017.
6489-Naibu Waziri Kamwelwe na Dk Kalemani
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Isack Kamwelwe na Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe.Dk.Medard Kalemani wakifuatilia hoja mbalimbali Bungeni katika  kikao cha Ishirini na mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 11, 2017.
6608-Mhe.Jafo
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais(TAMISEMI) Mhe.Suleiman Jafo akijibu maswali mbalimbali ya wabunge   katika  kikao cha Ishirini na mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 11, 2017.
6791-Wabunge wakijadili jambo
Wabunge wakijadili jambo katika kipindi cha maswali na majibu katika  kikao cha Ishirini na mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 11, 2017.
6632-Mhe.Mbowe
Kiongozi Mkuu wa Kambi rasmi ya upinzani Bungeni na Mbunge wa Hai Mhe.Freeman Mbowe akimuuliza swali Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa katika  kikao cha Ishirini na mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 11, 2017.
6639-Mhe.Jenista
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi ,Vijana ,Ajira na wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akijadili jambo na wabunge mbalimbali kikao cha Ishirini na mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 11, 2017.
6690-Mhe.David Mathayo same
Mbunge wa Same Magharibi(CCM) Mhe David Mathayo David akiuliza swali katika  kikao cha Ishirini na mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 11, 2017.
6517-Mbunge Viti Maalum
Mbunge wa Viti Maalum Mhe.Amina Mollel(CCM) akiuliza swali katika  kikao cha Ishirini na mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 11, 2017.
Picha Zote na Daudi Manongi- Dodoma MAELEZO, DODOMA

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search