TAHADHARI! Tahadhari! Tahadhari!
Mamlaka ya Hali ya Hewa Nchini imetoa Tahadhari juu uwepo wa hali ya upepo mkali na mawimbi makubwa katika maeneo ya pwani ya nchi kuanzia tarehe 19-05-2017 hadi 22-05-2017.
Tanzania Mpya Matukio tumefanikiwa kupata copy ya waraka kutoka Makao Makuu ya Mamlaka tumekuwekea hapa chini, Tahadhari Tahadharisha na Wengine!!!
Tanzania Mpya Matukio tumefanikiwa kupata copy ya waraka kutoka Makao Makuu ya Mamlaka tumekuwekea hapa chini, Tahadhari Tahadharisha na Wengine!!!
No comments:
Post a Comment