IJUE SIKO SELI!!!
Sisi wa Mbagala, Temeke, Kongowe na wakazi wa Dar na maeneo ya Jirani nimeona hii inatuhusu.. Usikose Elimu hii ya buree kutoka kwa wadau huku ukimshuhudia 'King Majuto' Live akifanya yake...
Matukio blog itakuwepo pia... book nafasi yako ya kuonekana 'mubasharaa' kupitia blog yako: wasiliana nasi 0715722673/0786722673 au tuma picha ukiwa viwanja vya ZAKHEEM MBAGALA wakati wa Tukio tutakurusha hewani.
Email: tanzaniampyatz@gmail.com
No comments:
Post a Comment