Video: WILL SMITH alivyoonyesha 'Show-Off' za Ukweli Ndani ya Tamasha la Red Carpet Nchini Marekani!!

Msanii Nyota wa Filamu Duniani, Will Smith maafuru kama 'Fresh Prince of Bell-Air' jana alisababisha shughuli kusimama kwa muda kutoa nafasi kwa maelfu ya mashabiki wake waliojawa na kiu ya kumuona na kusalimiana nae kufanya hivyo.

Akiwa amevalia 'Suti Nadhifu', Smith alitengewa kiti maalum katika meza kuu ya majaji ya Tuzo maarufu nchini Marekani zijulikanazo kama 'Red Carpet' maalum kwa kuwaenzi kwa kuwaenzi 'lengends' walioleta Mapinduzi makubwa katika tasnia ya filamu - Hollywood Stars.. na kufanyika katika ukumbi maarufu wa Martinez Hotel, ndani ya viunga vya Hollywood Marekani... kwa muda ilibidi waandaaji wa Tamasha kuvunja 'kanuni' na kusimamisha ratiba ili kumpa nafasi ya kipekee Prince kupanda Jukwaani kuonyesha mbwembwe 'Show-off' zake hatua iliyosababisha ukumbi kulipuka kwa furaha, huku wengine wakishindwa kujizuia kububujikwa na machozi.

Miongoni mwa vivutio vyengine ukumbini hapo ni mrembo Bella Hadid Mohamed alieibuka nyota wa tuzo hizo kwa mavazi na miondoko yake na jinsi alivyotinga akiwa anasindikizwa na baba yake mzazi ambae alikuwa nae bega kwa bega hadi mwisho wa shindano na kuibuka 'superstar' wa tuzo hizo.

Blog yako ya Matukio imekukusanyia picha kadhaa video za matukio yaliyojiri ya ukumbi wa Hotel Martinez Nchini Marekani jana,... endelea kuwa nasi kwa matukio zaidi kupitia:

































About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search