Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba ametembelea kikosi maalumu cha Jeshi la Polisi kinachoendesha 'operations' mbalimbali za kupambana na watu wanaofanya mauaji ya mara kwa mara kwa viongozi wa CCM katika ukanda huo.
Msikilize sehemu ya maneno yake kwa wanakibiti.
Waziri Mwigulu
About Author Matukio360
Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.
No comments:
Post a Comment