#World Press Freedom Day: Tanga waadhimisha kwa kutaka mashirikiano kati ya watendaji na Waandishi.

Katibu
Tawala wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi Zena Saidi akifungua maadhimisho ya
siku ya uhuru wa vyombo vya habari Duniani kimkoa yaliyofanyika kwenye
ukumbi wa klabu ya waandishi wa habari mkoani Tanga (Tanga Press Club)
leo kulia ni Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoani
Tanga,Hassan Hashim kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi
wa Habari Mkoani Tanga,Lulu George
Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa
Habari Mkoani Tanga,Hassan Hashim akizungumza katika maadhimisho hayo
leo
Makamu
Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoani Tanga,Lulu George
akizungumza katika maadhimisho hayo kushoto ni Katibu Msaidizi Alex
Abraham
Mwenyekiti
wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoani Tanga,Hassan Hashim kushoto
akifurahia jambo na Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi Zena Saidi
mara baada ya kupokea cheti  cha kuripoti habari za majanga na hali
hatarishi jana mafunzo waliyoyapata mkoani Morogoro hivi karibuni katika
halfa iliyofanyika
Makamu
Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoani Tanga,Lulu George
naye akipokea cheti hicho kushoto ni Kamanda wa Polisi Mkoani
Tanga,Kamishna Mwandamizi wa Jeshi la Polisi Benedict Wakulyamba kulia
ni  
Mwenyekiti wa Klabu
ya Waandishi wa Habari Mkoani Tanga,Hassan
Hashim
Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Klabu ya
Waandishi wa Habari Mkoani Tanga,Amina Omari naye akipokea cheti
hicho
Mwanachama wa Klabu ya waandishi wa Habari
na Mwandishi wa Clous TV Mkoani Tanga Zawadi Kika naye akipokea
cheti
Mwanachama wa Klabu ya waandishi wa Habari
na mwandishi wa gazeti la Citizen Paskal Mbunga naye akipokea
cheti
Mmiliki
wa Blog ya Tanga Kumekucha na Mwanachama wa Klabu ya waandishi wa
habari mkoani Tanga,Salum Mohamed naye akipokea cheti
hicho
 Afisa Uhusiano wa Mamlaka ya Maji
Safi na Usafiri wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Dorah Killo
akizungumza jambo kwenye maadhimisho hayo
Kamanda
wa Polisi Mkoani Tanga,Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi
Benedict Wakulyamba akizungumza jambo kwenye maadhimisho
hayo
Meneja
wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Ally Mwakababu
akizungumza umuhimu wa kujiunga na mfuko huo ili kuweza kunufaika na
fursa zinazopatikana kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Tanga Press
Klabu,Lulu George
Afisa Uchunguzi kutoka Takukuru Mkoani
Tanga,Frank Mapunda akisisitiza jambo kwenye maadhimisho hayo
leo
Afisa
kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Sophia
akisisitiza jambo kwenye maadhimisho hayo kulia ni Meneja wa Mfuko huo
Mkoani Tanga,Ally Mwakababu anayefuatia ni Makamu Mwenyekiti wa Klabu ya
Waandishi wa Habari Mkoani Tanga (Tanga Press Club) Lulu
George
 Sehemu ya waandishi wa habari
mkoani Tanga wakiwemo wadau wa habari wakifuatilia mada mbalimbali
zilizokuwa ziki wakilishwa kwenye maadhimisho hayo leo

  Sehemu ya waandishi wa
habari mkoani Tanga
wakiwemo wadau wa habari wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa ziki
wakilishwa kwenye maadhimisho hayo leo

Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima
ya Afya Mkoani Tanga (NHIF),Ally Mwakababu kulia akiteta jambo na
Mwandishi wa gazeti la Mtanzania katikati Amina Omari kushoto ni Ofisa
wa Mfuko huo mkoani Tanga Sophia
Mratibu wa Klabu ya Waandishi wa
Habari Mkoani Tanga (Tanga Press Klabu)Neema Omary kulia na Mjumbe wa
Kamati ya Utendaji ya Klabu hiyo,Amina Omari wakifuatilia matukio
mbalimbai

Mhandisi Zena Said ameziagiza taasisi za Serikali na mashirika ya umma kutoa ushirikiano kwa waandishi wa habari pindi wanapohitaji taarifa kutoka kwenye taasisi hizo kwa ajili ya
kuhabarisha umma.
Ameyazungumza hayo jana wakati wa kuadhimisha siku ya uhuru wa vyombo vya habari Duniani ambapo Mkoa Tanga maadhimisho hayo yalifanyika katika ukumbi wa klabu ya waandishi wa habari na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali kutoka taasisi za serikali na zisizo za kiserikali.

Hatua hiyo imekuja mara baada ya waandishi wa habari kutoa malalamiko yao mbele ya Katibu Tawala huyo wa Mkoa ambae alikua mgeni rasmi katika maadhimisho hayo ya kuwa zipo baadhi ya taasisi za Serikali kushindwa kutoa ushirikiano kwa waandishi wa habari pindi wanapohitaji kutekeleza majuku yao ya kazi - -- fullshangweblog.

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search