Live!! EAC Head of States Summit!!
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amepewa Heshima kubwa ya kuandaa Mkutano Maalum wa Wakuu wa Nchi wa Africa Mashariki (The 18th Ordinary Summit of EAC) Jijini Dar es Salaam.
Mkutano huu unarushwa Mubashara (Live) na Chanel yetu ya TBC Television (muda huu).
endelea kufuatilia blog yako ya Matukio kupata yanayojiri.
Mkutano huu unarushwa Mubashara (Live) na Chanel yetu ya TBC Television (muda huu).
endelea kufuatilia blog yako ya Matukio kupata yanayojiri.
No comments:
Post a Comment