Magazetini Leo 01/06/2017: 'Ubaya ubaya tuu.. IGP Sirro atangaza 'deal' la million 10 Mauaji ya Kibiti..'

INAUMA.. JAMANI INAUMA SANA,.. Salamu za Pole zamiminika Kifo cha Mzee Ndesamburo..  Mchanga wa Dhahabu wawainua Wazee; waja kumpongeza JPM.. na Sports Viwanjani: GENK ya Samata Yakwama yala 'Kichapo kitakatifu' Europe sasa basi.. na Boss Mkuu wa Everton aja kuwashika Singida United!!



























About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search