NEWS!! Huyu hapa ndiye Naibu Gavana 'Mpya' wa BOT: #SHARE.. ni..
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, amemteua DKT. Yamungu. Kayandabila.. kuwa Naibu Gavana wa BOT anaeshughulikia Uchumi na Fedha, na Dkt. Yohana Kibese kuwa Naibu Gavana atakaeshughulikia usimamizi wa Sekta ya Fedha..
Matukio Blog tumekuwekea Tamko kuhusu Teuzi hizo zinazoanza mara moja.
Tunawatakia Wateule hawa Wapya Heri na Fanaka katika kufanikisha majukumu yao Mapya.
Matukio Blog tumekuwekea Tamko kuhusu Teuzi hizo zinazoanza mara moja.
Tunawatakia Wateule hawa Wapya Heri na Fanaka katika kufanikisha majukumu yao Mapya.
No comments:
Post a Comment