Magazetini leo 09/06/2017: Soma kuu zifuatazo.. Bajeti ya mlalahoi haijapata kutokea.. Serikali yafuta 'Road License'.. Yalenga kuamsha uchumi Vijijini.. #SHARE
Mpango 'Kifaa..' Makofi kila kona.. ni Bajeti ya kujenga uchumi, ..afuta nyao za waliomtangulia.., Wapinzani wampa 'TANO', Usafiri wa treni kwenda Mkoa waanza tena baada ya kusimama Kwa mda.. Pia usikose...
'teka-teka ya Kibiti yahamia Ikwiriri..' Mwenyekiti wa Kijiji adaiwa 'kutekwa', na katika michezo.. Yanga yatia Kibindoni million 16.8 za SportPesa !
'teka-teka ya Kibiti yahamia Ikwiriri..' Mwenyekiti wa Kijiji adaiwa 'kutekwa', na katika michezo.. Yanga yatia Kibindoni million 16.8 za SportPesa !

No comments:
Post a Comment