Magazetini Leo Tarehe 2/6/2017: soma - Magufuli 'Apigaa, apiga tenaa..' ayaambia Makampuni ya Simu 'Watch out'.. Majaliwa ajishusha Mchanga wa Dhahabu,.. asema.. #SHARE.. "tupo kwenye mazungumzo na akina ACACIA'.. Pia usikose..

Kila mbabe na mbabe wake... Trump 'ajizolea'  Dola 380 Billion Saudia,.. Avalishwa Taji la Dhahabu la kilo 2 kama Zawadi!; Rais JPM azindua 'kiboko ya wakwepaji' Kodi.. Dangote Sasa waja DSE.. Katika michezo.. Mechi ya Madrid na Juve kesho Hataree.. wachezaji watangaziwa donge nono la dola 178million..




























About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search