Mhe. Angela Kairuki ana ujumbe maalum kwa wana-UWT Mkoani Dar es Salaam.. #share

AV1
Kiongozi wa Wabunge wa Viti Maalumu, Mkoa wa Dar es Salaam, na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angela kairuki, akizungumza na Wanachama wa CCM na Viongozi wa UWT, wakati wa ziara ya wabunge hao katika Wilaya ya Ilala kuhamasisha wanachama kuhusu uchaguzi wa Jumuiya hiyo na Uhai wa Chama katika mkutano uliofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Ukumbi wa Kitunda CCM uliopo Kitunda jijini Dar es Salaam. Picha Muhidin Sufiani
AV2.
Mbunge wa Jimbo la Segerea, Bona Karua, akizungumza kutoa baadhi ya kero za wapiga kura wake mbele ya mgeni rasmi Kiongozi wa Wabunge wa Viti Maalumu, Mkoa wa Dar es Salaam, na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angela kairuki, wakati wa ziara ya wabunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Dar es Salaam, katika Jimbo la Segerea Wilaya ya Ilala kuhamasisha wanachama kuhusu uchaguzi wa UWT na Uhai wa Chama katika mkutano uliofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Ukumbi wa CCM Liwiti Tabata Dar es Salaam. Picha Muhidin Sufiani
AV4
Kiongozi wa Wabunge wa Viti Maalumu, Mkoa wa Dar es Salaam, na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angela kairuki, akizungumza na Wanachama wa CCM na Viongozi wa UWT, wakati wa ziara ya wabunge hao katika Jimbo la Segerea Wilaya ya Ilala kuhamasisha wanachama kuhusu uchaguzi wa Jumuiya hiyo na Uhai wa Chama katika mkutano uliofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Ukumbi wa CCM Liwiti Tabata Dar es Salaam. Picha Muhidin Sufiani
AV2
Baadhi ya Wanachama wa CCM Kata ya Kitunda wakimsikiliza kwa makini Kiongozi wa Wabunge wa Viti Maalumu, Mkoa wa Dar es Salaam, na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angela kairuki, wakati akiwahutubia katika mkutano wa kuhamasisha uchaguzi na kuimarisha chama kuelekea uchagzi wa UWT. Picha na Muhidin Sufiani
AV3.
Kiongozi wa Wabunge wa Viti Maalumu, Mkoa wa Dar es Salaam, na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angela kairuki, akiagana na baadhi ya wanachama wa CCM baada ya kumaliza kuwahutubia katika mkutano wa kuhamasisha wanachama kuhusu uchaguzi wa UWT na Uhai wa Chama katika mkutano uliofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Ukumbi wa Kitunda CCM uliopo Kitunda jijini Dar es Salaam. Picha Muhidin Sufiani
AV3
Kiongozi wa Wabunge wa Viti Maalumu, Mkoa wa Dar es Salaam, na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angela kairuki, akiagana na baadhi ya wanachama wa CCM baada ya kumaliza kuwahutubia katika mkutano wa kuhamasisha wanachama kuhusu uchaguzi wa UWT na Uhai wa Chama katika mkutano uliofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Ukumbi wa Kitunda CCM uliopo Kitunda jijini Dar es Salaam. Picha Muhidin Sufiani
AV3MAD
Kiongozi wa Wabunge wa Viti Maalumu, Mkoa wa Dar es Salaam, na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angela kairuki, akizungumza jambo na Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Dar esSalaam, Janeth MAsaburi, wakati wa ziara ya wabunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Dar es Salaam, katika Jimbo la Segerea Wilaya ya Ilala kuhamasisha wanachama kuhusu uchaguzi wa Jumuiya hiyo na Uhai wa Chama katika mkutano uliofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Ukumbi wa CCM Liwiti Tabata Dar es Salaam. Picha Muhidin Sufiani
AV5
Wanachama wa CCM wakifurahia na kucheza kwa pamoja wakati wa mkutano huo.
AV9
Baadhi ya Vioongozi wa meza Kuu.
AVMAD
Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Dar es Salaam, Janeth Masaburi, akizungumza machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kuzungumza, wakati wa ziara ya wabunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Dar es Salaam, katika Jimbo la Segerea Wilaya ya Ilala kuhamasisha wanachama kuhusu uchaguzi wa Jumuiya hiyo na Uhai wa Chama katika mkutano uliofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Ukumbi wa CCM Liwiti Tabata Dar es Salaam. Picha Muhidin Sufiani

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search