Magazetini Leo 26/06/2017 Soma kuu: Mbowe sasa 'moto' ni kuhusu kamatakamata ya wapinzani.. #share.. Dude la 'TAKUKURU' laamkia TICTS..

Mwigulu atishia 'NGO's wapiga debe'.. wanawake wataka JPM atengue 'kauli', Lowasa awaombea 'poo' Masheikh wa Uamsho..  CCM wakimbizana kurejesha Majimbo Dar,.. Lubinga Asema Vita JPM hakuna atakaepona.. Leo ni Eid Day.. na katika Michezo Taifa Stars yaibamiza Malawi... 

































About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search