Picha 5: Jionee Ratiba Ngumu ya Anna Mghwira siku ya kwanza Ofisini.. ahudhuria msibani kwa Ndesamburo mwanzo mwisho !!

Mkuu Mpya wa Mkoa wa Kilimanjaro Bi Anna Mghwira, alianza ratiba ngumu wakati akiripoti siku ya kwanza kazini kwake. 
Matukio blog imekuwekea picha tano mchanganyiko ya baadhi ya aliyoyafanya leo, likiwemo la kuripoti nyumbani kwa mzee Ndesamburo Na kushiriki kuwafariji wafiwa mwanzo mwisho.
Akiongea Na mjane wa Marehemu aliitaka familia kuwa Na uvumilivu katika kipindi hichi kigumu na kumtegemea Mungu kwa kila kitu kwani yeye ndiye faraja yao.
Fuatana nasi...


Mama Mghwira akisaini kitabu cha Maombolezo 

Mama Mgwira akimfariji Mjane wa Marehemu Ndesaburo 

alipotembelea kaburi na kuweka shada la maua kaburini

akisalimiana na viongozi wa CCM mkoa

Akisainishwa Kitabu cha wageni mara baada ya kuripoti ofisini kwake leo asubuhi

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search