Recorded: Hotuba ya Mhe. Rais JPM alivyoongea na Wananchi wa Kibaha leo alipoanza ziara yake Mkoani Pwani.. #share

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli leo alianza rasmi ziara yake ya kikazi katika mkoa wa Pwani.. 

Matukio blog inakuletea Hotuba kamili ya Mhe. JPM aliposimama kwenye Mkutano wa Hadhara kuongea na Wananchi wa Kibaha..

Kama uliikosa 'mubashara' ungana nami hapa..


About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search