Breaking News! Abbasi avunja ukimya.. #share. apangua 'Propaganda' za Tundu Lissu moja baada ya nyengine..

Msemaji Mkuu Serikali na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Bw. Hassan Abbasi leo amevunja ukimya na kupangua hoja za mnadhimu mkuu wa kambi ya Upinzani na Mwanansheria Msomi, Mhe. Tundu Lissu (MB).

Mapema kupitia Ukurasa wake rasmi wa Twitter, Bw. Abbasi amenukuliwa wakisema "Leo tumezijibu kwa kina propaganda na upotoshaji wa Mbunge wa Singida Mashariki Ndug Tundu Lissu..."

Matukio360 tumekuwekea kurasa mbili za andiko la Bw. Hassan linaloonekana kujibu moja kwa moja video na ujumbe wa sauti iliyotrend sana mitandao ya Kijamii..




About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search