bREAKING nEWS: Majadiliano yakinukia; ACACIA 'yaliamsha Upya' .. 'Mfanyakazi wetu kakamatwa Airport leo asubuhi..' #share
Kampuni ya ACACIA Mining imeibua tuhuma nzito za kuchezewa rafu, ikiwa ni kati kati ya maandalizi ya majadiliano na Serikali kuhusu tuhuma za udanganyifu na ukwepeshaji mapato wa kampuni kwa na kuinyima serikali stahiki zake..
Katika Waraka mzito ulisambaa kupitia 'social media' mchana huu, Kampuni hiyo imeituhumu serikali kupitia vyombo vyake kuwa imemzuilia kwa muda na kumnyang'anya hati passport mfanyakazi wa ACACIA aliekuwa akisafiri kupitia uwanja wa Ndege wa Dar es Salaam.
" Uongozi wa Kampuni yetu unawasiliana kisheria kufahamu hatua stahiki juu ya hatua hiyo.." imemaliza taarifa hiyo..
No comments:
Post a Comment