bREAKING nEWS: Makonda awavaa wadau wa 'CAMERA'.. ataka majibu ndani ya siku 10..' bila hivyo ni noumaaa! sana !!!

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam amefanya mkutano leo na wadau mbalimbali jijini Dar kwa ajili ya ufungaji wa mfumo wa ufuatialiji wa makosa mbalimbali yanayotokea hapa Dar ikiwemo ukiukwaji wa sheria za usalama barabarani zinazofanywa na baadhi ya madereva wa magari.



Ametoa siku kumi kwa tume atakayoiunda ije na majibu ya suluhisho la namna mfumo huo utakavyoweza kufanya kazi, ameeza kwamba, “wako wataam walishakwenda mpaka China na serikali kugharimia safari na mafunzo tangu serikali ya awamu ya nne na akaagiza CAMERA zifungwe lakini mpaka leo hakuna lolote”

Alisema,”Sasa mimi siendi nchi yoyote nipo hapahapa Dar es Salaam na nitahakikisha CAMERA zitafungwa”.

Mfumo huo ni Tanzania Tracking Technology of Security Monitoring System. Mfumo huu waweza kusaidia kutambua aina ya gari, jina la driver na hata kuweza kuzima/switch off gari iliyoibiwa - e-pepa



About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search