Breaking news!! Masamaki wa TRA aachiwa huru.. #share
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru aliyekuwa Kamishna wa Forodha na Ushuru wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Tiagi Masamaki na wenzake waliokuwa wakikabiliwa na mashtaka ya uhujumu uchumi na kuisababishia Serikali hasara ya Sh12.7 bilioni.
Matukio360 tutaendelea kuwapa kwa kina yanayohusiana na mwenendo wa kesi kadri taarifa zinavyotufikia..
Washtakiwa wameachiwa huru leo Alhamisi (Julai 13) na Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shaidi baada ya Wakili wa Serikali Mkuu, Timon Vitalis kuiomba Mahakama iwaachie chini ya kifungu cha 91(1) cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai (CPA) kwa sababu Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) hana nia ya kuendeleza mashtaka dhidi yao. JF
Matukio360 tutaendelea kuwapa kwa kina yanayohusiana na mwenendo wa kesi kadri taarifa zinavyotufikia..
Bless News: WATUHUMIWA WA KUHUJUMU UCHUMI TRA MASAMAKI NA WENZ... https://t.co/jU7wyPwO9Q— Godbless Urassa (@UrassaGodbless) July 13, 2017
No comments:
Post a Comment