Breaking News: Spika Ndugai awatema Wabunge waliokaangwa na Profesa Lipumba.. #share..
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai ameridhia barua ya kuwafukuza uanachama kwa Wabunge 8 wa Chama cha Wananchi CUF iliyowasilishwa kwake na Prof. Lipumba na Bi Magdalena Sakaya.
Kufuatia hatua hiyo ni dhahiri Wabunge hao wamepoteza sifa ya kuendelea kuwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hivyo Spika amezitangaza nafasi zao kuwa wazi.
Tumekuletea majina ya Wabunge waliotimuliwa endelea kufuatana nasi.
No comments:
Post a Comment