Magazeti ya Leo 15/07/2017: Ni 'zamu ya TRA, TCRA, na Waziri Mwakyembe..' Vituo vya Mafuta vyapigwa 'makufuli', Makampuni 6 ya Simu yapigwa 'faini ya billion 10..' huku nako Startimes wamepewa siku 7... #share.. Mahakama yazima 'ndoto' za kigogo wa ESCROW...
Mzenji aliyezuga kifo aenda Jela London.. Diwani wa Dar anaswa kwa 'rushwa ya 5 million.. na 'love story' ya Simba akinyonyesha mtoto wa Chui huko Ngorongoro..
Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.
No comments:
Post a Comment