Magazetini Leo 11/07/2017: Sakata la Mabilioni ya mgao wa 'fedha za Escrow na Rugemalila'.. 'waziri Ngeleja' atema mzigo wote.. Prof. Lipumba sasa 'kunyofolewa' Uenyekiti CUF 'Mkakati kabambe' umekamilika,.. #share.. Wauaji Kibiti waua tena.. na Staa Rooney wa Everton kutua Dar kesho..
JPM awaonya walafi wa fedha za Umma,.. aanza na 'wapigaji pembejeo,.. Maisha ya Billionaire Manji ndani ya Gereza la Keko ni Hatari'.. Je umewahi kula 'karanga mbichi' Kwa tiba? basi soma gazeti la Tabibu nimekuwekea humu,..
Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.
No comments:
Post a Comment