Magazetini leo 23/07/2017: Vigogo hawa ni Tishio.. Mbowe aja na mkakati wa kubadili 'gia angani' JPM asomeshwa Mabango Kigoma,.. #share.. Masikini Taifa Stars Fungu la kukosa.. yasubirishwa CHAN na Rwanda..


JPM akemea wanaogeuza Mtaji Wakimbizi wa Burundi,.. Mijadala kila kona kukamatwa kwa Tundu Lissu, Siku 365 zilivyowanyoosha CCM, na katika makala Soma Habari ya Supu ya Ngisi inavyomjenga Mwanamume kwenye tendo  la Ndoa...


















































About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search