NEW RECORD: Goli la Kwanza la 'Wine Rooney Mpya' ndani ya Everton limepatikana Tanzania.. #share..


Mshambuliaji wa Everton,Wayne Rooney,akijiandaa kupiga mpira uliozaa bao la kuongfoza kwa timu yake, wakati wa mchezo wa Kimataifa wa Kirafiki,uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. kujiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu ya Uningereza unaotarajiwa kuanza mwezi ujao Katika mchezo huo Everton ilishinda mabao 2-1.(Picha kwa hisani ya SufianiMafotoblog)

Shambuliaji wa Everton, Aaron Lennon (kushoto) akichuana kuwania mpira na beki wa Gor Mahia, Mussa Mohammed,wakati wa mchezo wa Kimataifa wa Kirafiki,uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.



Mshambuliaji wa Everton,Wayne Rooney, akipongezwa na wachezaji wenzake, baada ya kuifungia timu yake bao la kuongoza katika kipindi cha kwanza.

Gooooooooo, Bao la pili la Everton.

Mshike mshike..

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search