TANZIA: Zanu Simpson; Kinara wa unyoaji mitindo wa Marekani alivyouwawa kikatili.. #share

Mastaa maarufu Nchini Marekani wanamuomboleza Kinyozi wao maarufu mwenye asili ya Jamaika, Zanu Simpson, alieuwawa kikatili Jijini New York baada ya kupigwa risasi tatu kifuani. 


Pichani: Kinara wa mitindo unyoaji Zanu Simpson enzi za uhai wake..
Shuhuda mmoja alisema kuwa, alimuana mualifu akiwa anajibizana Zanu huku zanu akiwa kwenye gari yake aina ya BMW. Baada ya purukushani na mabishano ya hapa na pale alisikia risasi tatu zikilia kwenye gari kisha kumuona muharifu akikimbia ndipo alipoamua kwenda na kukuta Zanu ameshapigwa risasi hizo.

Juhudi za kumpeleka Hospitali ya jirani zilifanyika pasipo kuzaa matunda kwani Zanu alikua ameshafariki.

Zanu alikua kinyozi wa mastaa mbalimbali kama Future, n.k. Polisi wanaendelea na uchunguzi wa kumkamata. Muharifu aliyefanya tukio hilo - 

Rick Tz

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search