Top News: Simbachawene 'aipa mkono wa kwaheri' Bodi ya Shirika la Masoko Kariakoo..
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Bw. George Simbachawene ameivunja Bodi ya Shirika la Masoko Kariakoo kuanzia leo 21/07/2017.
Matukio360 tumenasa waraka maalum unaoratibu maamuzi hayo na tumekusogezea upate kuhabarika zaidi..
Taarifa iliyopatikana Mchana huu kutoka kwa Msemaji wa serikali, Uamuzi huo umefuatia kubainika mapungufu kadhaa ikiwemo kushindwa kumshauri Waziri husika namna bora ya Uendeshaji wa Shirika hilo..
Matukio360 tumenasa waraka maalum unaoratibu maamuzi hayo na tumekusogezea upate kuhabarika zaidi..
No comments:
Post a Comment