UTEUZI: Bibi Mary Gasper Makondo ndie Kamishna Mpya wa Ardhi.. Rais pia Kateua Mthamini Mkuu wa Serikali.. #share..
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Stephen J. Nindi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi (NLUPC)
Taarifa iliyotolewa na Kaimu Katibu Mkuu, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Moses M. Kusiluka imeeleza kuwa uteuzi huo umeanza tarehe 16 Juni 2017.
Kabla ya uteuzi huo, Dkt. Stephen J. Nindi alikuwa akikaimu nafasi hiyo.
No comments:
Post a Comment