Alichoandika JPM kwenye ukurasa wake wa Twitter baada ya Uhuru Kenyatta kutangazwa Mshindi wa kiti cha Urais,.. #share




Baada ya leo Uhuru Kenyatta kutangazwa ndiye mshindi wa kiti cha urais kwa mara nyingine tena nchini Kenya kufuatia uchaguzi uliofanyika August 8 mwaka huu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli amempongeza Uhuru kwa ushindi huo.
Rais Dkt. Magufuli ametuma salamu hizo za pongezi kupitia ukurasa wake wa mtandao wa twitter na kumtakiwa Uhuru mafanikio katika kutumikia wananchi 
Rais Uhuru Kenyatta alitangazwa mshindi na Tume ya Uchaguzi na Mipaka ya Kenya (IEBC) kwa kupata kura 8, 203, 290 sawa na asilimia 54.2, huku mgombea wa upinzani Raila Odinga akipata kura 6,762,224 sawa na asilimia 44.7.
By Peter Akaro

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search