BREAKING NEWS: Mlipuko waua 12 Kanisani... #share

Kumeripotiwa mlipuko mkubwa katika Kanisa moja lililopo Mji wa Anambra Nchini Nigeria, asubuhi hii ambapo inasadikiwa idadi ya watu wasiopungua 12 wameuawa.. 

At Least 12 Killed in Anambra Church Attack in Nigeria

The Anambra State Police Command has confirmed the death of 12 persons after gunmen attacked St. Philips Catholic Church in Ozubulu area of Anambra State._

The Commissioner of Police in the state, Mr Garba Umar, told Channels Television on Sunday that the gunmen went into the church during an early morning mass and shot sporadically at worshippers.

According to him, many people were injured in the attack while some of the victims died on their way to the hospital.

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search